Skip to main content

Posts

Showing posts from 2019

SANITY AND INTEGRITY AMONG THE YOUNG PEOPLE

SANITY AND INTEGRITY AMONG THE YOUNG PEOPLE The issue of indiscipline among school going students, both in primary schools and high schools, not forgetting the higher learning institutions is indeed a serious aspect that needs a close attention. The fact that nowadays children have the strangest courage of beating their teachers as well as parents and becoming unruly to their elders is not a small piece of paper that is worth of disposal in a litter bin. If you can walk around the villages you will be able to get the certainty of the matter at hand. I have been meditating on this issue, relatively going through a number of published articles of various elites whom have also been overpowered by the weight of the matter, and to say the truth, it is so overwhelming! It is overt that the youth is the future of a state. Think of this scenario, suppose you walk into a forest with an axe and pull down all the young trees, for sure will have utterly killed the future of the forest. The...

MAISHA YA CHUO

MAISHA YA CHUO    Kwa kawaida, kazi nzuri na bidii hupelekea matokeo kabambe na mwishowe fanaka maishani. Hii huwa ndiyo hali kwa wanafunzi wanaofanya mtiani wao wa wa kitaifa, KCSE ambapo wengine wao hufuzu na kujishindia nafasi katika vyuo vikuu ili kusomea kozi ambazo zinawafaa zaidi. Huu ndio wakati utawapata wana na binti za watu wakizikokota begi nzito nzito ardhini huku wanatembea kwa ustaha na ujarisi wakielekea chuoni, nyuso zao zikimetameta metumetu kwa tabasamu ya furaha. Hiki ndicho kiwango ambacho humezewa mate na wengi wa watahiniwa wa KCSE na   kila mmoja hujinyima usingizi na starehe ili kupigania fursa hii. Wengi wanaojiunga na vyuo huwa na matarajio mengi kuhusu maisha na mustakabali wao baada ya masomo ya chuo. Wao huwa na mtazamo dhabiti katika masomo yao na kamwe hawataruhusu upuuzi wowote uuondoe umakinifu wao kutoka kwa ‘kazi’ waliyokuja kuifanya mle chuoni.  Awali katika shule za upili, wengi huwa na maono makubwa makubwa ya kuwa ...

HAKI YA WANYONGE

MNYONGE ATAWAHI KUPATA HAKI? Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na kilio kisichoonekana kupungua huku   wananchi wakikumbana na dhiki kuu wakiumia kutokana na janga la mahangaiko na taabu   chungu nzima, chanzo chake kikiwa ni hawa mabepari walio miongoni mwetu. Huku wakenya-wananchi wa kawaida   wakiendelea kupitia shida kila uchao, wengine wao wakilazimika kujitia kitanzi kutokana na hali ngumu ya maisha, wengine wanaamua kuingia katika vikundi vya magaidi ambavyo vinawaahidi vikapu vinono vinono punde baanda ya kutekeleza ‘kazi’, mabwanyenye wenye mali kama njugu wanaendelea kutajirika hata zaidi. Si ajabu wala kusikitisha kusema kuwa mabwanyenye wawa hawa ni ndugu na jamaa zetu, marafiki na wendani wetu kindakindaki. Ni watu tuliowaaminia sana katika baadhi ya mambo yetu ya kimaisha. Watu wengi wanaoishi katika mitaa ya mabanda wanakumbana na changamoto   tofautitofauti, nyingi yazo zikiwa ni pamoja na ukosefu wa chakula cha kutosha, uhaba wa maji safi ya k...

CHOOSING THE RIGHT ADVISER

CHOOSING THE RIGHT ADVISER  By: Calleb Otieno    Wed, 8 th May, 2019 Many a times people tend to have many issues in life relating to certain things happening to them and people around them. And in the process, the worst of it all is that they fail to get the answer to their many questions. I am not insinuating to say that, (in this small mock-up), that I will give out a remedy to many of such ‘many questions ’, but essentially I am trying to pose a great concern to my readers in the same ambit. There has come a time where you have a myriad of events taking place in your life, some of which you cannot fathom their origin, causes and the reasons for their happening. Consequently, you totally fail to get the approach with which to handle such a monster.   All you see ahead is a big mountain, which seems never to be brought down by anything! Therefore, in the same line, you begin to throw hands and head in the air, and fatigue catches up with you then s...